Habari za Punde

Skuli ya Msingi ya Zingweezingwe Yazinduliwa Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya Uzinduzi wa Skuli ya Msingi ya Zingwezingwe.Ikiwa ni shamrashamra ya maadhimisho ya  miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman akikunjuwa kitambaa ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Skuli ya Msingi ya  Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman akipanda mti wa Mnazi kwa ajili ya kuhifadhi mazingira katika Uzinduzi wa Skuli ya Msingi ya  Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Skuli ya Msingi ya  Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Unguja,Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Juma Kassim Tendwa.
Wanafunzi Khadija Khamis kushoto na Asha Mahamudi kutoka Skuli ya Fujoni wakisoma Utenzi katika Uzinduzi wa Skuli ya Msingi ya  Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wanafunzi Khadija Khamis kushoto na Asha Mahamudi kutoka Skuli ya Fujoni wakisoma Utenzi katika Uzinduzi wa Skuli ya Msingi ya  Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.