MASHEHA wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakimsikiliza
kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe:Mohamed Aboud
Mohamed, wakati alipokuwa akizungumza na watendaji wa Serikali Mkoa wa
kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini
Pemba, wakiwa katika kikao cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, wakati alipokuwa akizungumza na watendaji wa
Serikali mkoa huo, katika ukumbi wa Jamhuri holi Wete.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis
Othman, akiwanasihi jambo watendaji wa Serikali mkoa huo, mara baada ya Waziri
wa Nchi ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, huko katika
ukumbi wa Jamhuri holi Wete.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza na watendaji wa serikali wa mkoa wa
Kaskazini Pemba, juu ya mabadiliko ya hali ya Hewa nchini.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment