Habari za Punde

Mabishano ya Gari na Rukwama Barabara ya Kiponda Zenj. Ambayo ni One Way

Wanafunzi wakiwa mbele ya gari daladala lililokuwa likipita njia isiyo ruhusiwa katika eneo la kiponda baada ya kuzuka kwa mabishano na msukuma mkokoteni ambaye yuko sawa kupita njia hiyo mwenye daladala akipita kinyume na sheria za barabara katika mitaa ya mji mkongwe wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.