Friday, February 12, 2016

Mandhari ya Barabara ya Mahonda Yapambwa na Taa za Nguvu ya Jua.

 Barabara ya mahonda nje kidogo ya Mji wa Zanzibar ikiwa imepambwa na taa maalumu za kutumia nguvu ya jua katika barabara hiyo kutowa huduma hiyo kwa wananchi wa eneo hilo wakati wa usiku na kuliweka katika hali ya usalama kimazingira. 

No comments:
Write Maoni