Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR AWAANDALIA CHAKULA VIKOSI VYA ULINZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akichukua chakula wakati wa hafla ya chakula maalum iliyofanyika leo katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar kwa Vikosi vya ulinzi vilivyoshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame
Maaskari wa vikozi vya ulinzi wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo  katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)pamoja na viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa baada ya chakula alichowaandalia askari wa vikosi vya ulinzi leo katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na  Kamishna wa jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame leo baada ya hafla ya  chakula maalum ilichokiandaa kwa Vikosi vya ulinzi vilivyoshiriki sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo ilifanyika katikaviwanja vya mpira Makamo Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar  Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]]

5 comments:

 1. siku hizi hakuna kazi ya kufanya ikulu kazi kulisha watu tu.

  ReplyDelete
 2. hongo kwa wanajeshi hiyo, kwa kazi nzuri walioifanya ya kufutwa uchaguzi

  ReplyDelete
 3. Na kupiga watu pia mazombi

  ReplyDelete
 4. KULENI KABISA KWA MARA YA MWISHO, KWANI MJUWE TAUWA LAKINI NA NYINYI MWAKA HUU WENGI WENU MTAKUFA,

  ReplyDelete
 5. Hiyo ni hongo! Mikakati ya kuhakikisha udhalimu wa ccm unalindwa. Chakula tu kitawafanya msahau utu wa Wazanzibari..."Vikosi vya kulinda udhalimu wa fisiem" Mhhh.....

  ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.