Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli za Nyerere na Sebleni Wakiruka Uzio wa Uwanja Amaan Zenj.



Wanafunzi wa Skuli ya Nyerere na Sebleni wakiwa katika jitihada za kuruka uzio wa uwanja wa amaan kufupisha safari yao wakati wa kwenda skuli na kurudi kama walivyokutwa na kamera yetu wakiwa katika uzio huo wakiruka bila ya kujari athari yake kwao, Hutumia njia hiyo wakati wa mageti ya uwanja huo yakiwa yamefungwa kwa kuzuia hali ya kukatisha katika eneo la uwanja huo hutumika kwa baadhi ya wananchi kupita wakati wote.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.