Mratibu Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar (ZLSC) Tawi la Pemba,Bi.Fatma Khamis Hemed,
akifungua Mkutano wa Msaada wa Kisheria, kwa Wananchi wa Shehia ya Matale Jimbo
la Chonga Wilaya ya Chakechake Pemba, kulia Naibu Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Chakechake,Ndg.Salim Hassan Bakar na katikati ni Sheha wa Shehia ya Matale Ndg.Mkubwa Hamad Hassan
Naibu Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Chakechake Ndg.Salim Hassan Bakar, akifafanua
kuhusu Sheria za Umiliki wa Ardhi, kwenye mkutano wa kutoa masaada wa kisheria,Ilioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar (ZLSC) Tawi la Pemba, iliofanyika katika Kijiji cha Shehia ya Matale Jimbo la Chonga wilaya ya Chakechake
Mtoto wa
shehia ya Matale Jimbo la Chonga wilaya ya Chakechake, akijifunza jinsi ya
kusuka kuti bichi la Mnazi, ambapo aina hiyo ya makuti, ndio yaliokuwa maarufu
visiwani Zanzibar kwa kuezekewa nyumba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment