Afisa Uendeshaji wa Jumuiya ya ZOP, Malik Hilal Moh'd , akifunguwa maji pamoja na Mwanakijiji wa Finya , Shehe Hamad Mattar , kuashiria kukabidhiwa msaada wa matangi ya maji yaliotolewa na Jumuiya hiyo kwa Wananchi wa Kijiji hicho.
Baadhi ya Watendaji wa ZOP Pemba , pamoja na baadhi ya Walimu wa Skuli ya Finya na Wananchi wa kijiji hicho , wakiwa mbele ya Tangi la kuhifadhia maji lililotolewa msaada na Jumuiya hiyo kwa Skuli hiyo,ambalo limegharimu Tshs,5 milion.
Picha na Hanifa Salum -Pemba.
No comments:
Post a Comment