Habari za Punde

Kutangazwa Matokeo ya Uchaguzi wa Marudio Zanzibar Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar leo.

Mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais wa ADA TADEA Juma Ali Khatib,wakaki alipowasili katika Ukumbi wa Salama Bwawani  yalipotangazwa matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais kupitia Chama cha ADC Hamad Rashid Mohammed alipowasili katika Afizi za Tume ya Uchaguzu Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kupokea matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar.  
Mgombea Urais kupitia ADC Mhe Hamad Rashid Mohammed akisalimiana na Mama Mwanamwema Shein.
Mgombea Urais wa Zanzibar  Kupitia Chama cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais kupitia Chama cha AFP Mhe Said Soud wakati akiwasili katika ukumbi wa Salama kusikiliza Matokeo ya Uchaguzi wa Marudio wa Zanzibar.
Mgombea Urais Kupitia Chama cha ADC Mhe. Hamad Rashid Mohamed akiwasalimia Wananchi alipokuwa akiingia katika Ukumbi wa Salama Bwawani kusikiliza Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. 
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT - Wazalendo Mhe Lila akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia ADC Mhe. Hamad Rashid alipofika ukumbi wa Salama kusikiliza Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Chama cha ADC Mhe Hamad Rashid na Mgombea Urais wa Chama cha ADA  TADEA Mhe Juma Ali Khatib, akisalimia wakati akiwasili ukumbi wa Salama kusikiliza matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar..  
Mgombea wa ACT-Wazalendo Lila na Mgombea wa ADA - TADEA Juma Ali wakisalimiana katika ukumbi wa Salama Bwawani. 
Mgombea Urais kupitia ADC Mhe Hamad Rashid akizungumza na Mwanasiasa Mkongwev Tanzania , Mhe Shibuda.  
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho akibadilisha mawazo na Mwanasiasa Mgongwe Tanzania Mhe Shibuda wakiwa katika Ukumbi wa Salama kusubiri kutangazwa kwa Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibat na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha AFP Mhe Said Soud, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho. 

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ngd Salum Kassim Ali akitangaza utaratibu wa kutangazwa kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar kwa Viongozi wa Siasa na Wananchi waliofika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani. 
Wagombea Urais wa Zanzibar wakiwa katika mstari wa mbele wakisikiliza utaratibu wa kumtangaza msindi wa Urais wa Zanzibar yaliotangazwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jecha Salim Jecha alipokuwa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa marudio jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,ambapo Mgombe wa Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein kaibuka kushinda uchaguzi huo

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jecha Salim Jecha alipokuwa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa marudio jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,ambapo Mgombe wa Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein kaibuka kushinda uchaguzi huo

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakifuatilia matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar yakitolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe Jecha S Jecha katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar. 

Viongozi na Mawaziri wakifuatilia matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.

Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Jaji Fransic Mutungi akifuatilia matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar yakitolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe Jecha S Jecha katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.  

Wagombea Urais wa Zabzibar wakiwa wa kwanza ADC Mhe Hamad Rashid ADA TADEA  Juma Ali na ACT- Wazalendo Mhe Lila wakifuatilia karatasi ya Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar wakati yakitangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakishangilia kwa makofi wakati alipotangazwa kuwa mshindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio kutoka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais Mteuli wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa na aliyekuwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA - TADEA Juma Ali Khatib. baada ya kutangazwa mshindi wa Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe Jecha S Jecha, katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad Rashid  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais Mteuli wa Zanzibar nac Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wananchi na Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar baada ya kutangazwa mshindi wa Nafasi ya Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika jumapili 20,march 2016 na kuibuka mshindi kwa asilimia kubwa.na kuongoza Zanzibar kwa kipindi cha Pili. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akionesha Cheti maalum cha Ushindi baada ya kukabidhiwa   Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali wakimsikiliza Mshindi wa Urais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akitowa shukrani zake kwa Wananchi wa Zanzibar kumpa ridhaa za kuwaongoza tena kwa kipindi cha Pili cha Uongozi wake Zanzibar. 
Waliokuwa Wagombea wa Urais wa Zanzibar wakimsikiliza Rais Mteuli wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akitowa shukrani zake kwa Wananchi kwa kumpa ridhaa ya kumchagua tena kuwaongoza kwa kipindi cha miaka mitano. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipongezwa  na Watoto wake  baada ya kutangazwa mshindi wakati wa matokeo ya uchaguzi huo  jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipongezwa na  Mgombea wa Urais kupitia Chama cha AFP Said Soud Said  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Mwanasiasa Mkongwe Tanzania Mhe Shibuda akimpongeza Rais Mteuli wa Zanzibar Dk Shein baada ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa Uchaguzi wa Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi wa Marudio uliofanyika jumapili 20,March 2016.




Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad Rashid Mohammed akitoa shukurani kwa niaba ya Vyama mbali mbali vilivyoshiriki uchaguzi wa marudio  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha  jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja







Watoto wa Rais wa Zanzibar Dk Shein, wakishangilia Ushindi wa Mgombea wa Urais wa Zanzibar wakiwa nje ya Ukumbi wa Salama baada ya kutangazwa Mshindi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Watoto wa Rais wa Zanzibar Dk Shein, wakishangilia Ushindi wa Mgombea wa Urais wa Zanzibar wakiwa nje ya Ukumbi wa Salama baada ya kutangazwa Mshindi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, akisalimiana na Mwandishi wa habari wa gazeti la Zanzibar leo nje ya ukumbi wa Salama baada ya kutangazwa matokeo na kuibuka msindi wa Urais wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Salama baada ya kutangazwa Mshindi wa Kura zac Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Wananchi waliofika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Bwawani Zanzibar kusikiliza matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar.
Rais wa Mteuli wa Zanzibar, na Dk Ali Mohamed Shein, akiondoka katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar baada ya kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi huo.Na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha S Jecha. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.