Friday, July 1, 2016

Watoto wa kike Kojani huyazoea mazingira mapema

HATA watoto wa kike wa kisiwa cha Kojani wilaya ya Wete Pemba, hutajwa kuanza kuyazoea mazingira wanayoishi mapema, kwa kuanza kujifundisha kupiga makasia na pondo, kwenye mitumbwi kama walivyokutwa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).