Habari za Punde

Afisa Mdhamini Azungumza na Maofisa Walioko katika Wizara yake Kisiwani Pemba.

 

Afisa Mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba Ndg. Masuod Mohammed Ali, akizungumza na Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo ndani ya Wizara hiyo Pemba, ambazo ni Mamlaka ya ya Kupambana na Rushwa na Uhujumu wa Uchumi ZAECA, DPP, Wakfu na Mali za Amana, Ofisi ya Mufti Pemba, Ofisi ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mahakama, mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Mdhamini Pemba.(Picha na Haji Nassor Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.