Skuli ya Elimu Endelezi na Utaalamu (SCOPE) ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinawatangzia SCOPE IT BONANZA ambalo litashindanisha wanafunzii mbali mbali wa Suza katika mambo ya ICT na kuzawadiwa zawadi mbali mbali.Karibuni
WAAJIRI WATAKIWA KUWEKA UTARATIBU WA KUWAPATIA MAFUNZO WAFANYAKAZI WAO ILI
KULETA TIJA SEHEMU ZA KAZI
-
15 Septemba 2025, ARUSHA
Waajiri nchini wametakiwa kuweka utaratibu wa kuwajengea uwezo watumishi
wao kwa kuwapatia mafunzo mara kwa mara yatakayowawezesha...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment