MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, August 30, 2016

Ukataji kuni msitu wa Hifadhi ya Mtambwe bado ni tatizo sugu

LICHA ya Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, kupiga marufuku ukataji wa katika msitu wa hifadhi wa Mtambwe, Ili kupunguza uharibifu wa mazingira, suala hilo limekuwa gumu kwa baadhi ya wananchi, Pichani Kuni kavu zilizokatwa ndani ya msitu huo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)