Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, Awasili Mwanza Mchana Huu Kuelekea Simiyu katika Sherehe za Kilele za Mwenge wa Uhuru Kuzimwa Kesho.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe,John Mongela mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akielekea katika Mkoani Simiyu kushiriki sherehe za uzimaji mbio za Mwnge wa Uhuru Kitaifa zinazotarajiwa kufanyika kesho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe,John Mongela (wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenister Muhagama (wa pili kushoto) na Waziri wa kazi,uwezeshaji Vijana,Wazee Wanawake na Moudeline Cyrus Castico (kushoto)baada ya mapokezi  alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akielekea katika Mkoani Simiyu kushiriki sherehe za uzimaji mbio za Mwnge wa Uhuru Kitaifa zinazotarajiwa kufanyika kesho,[Picha na Ikulu.]

1 comment:

  1. hizo sherehe ni za watanganyika wao hawana habari nazo sisi kujipeleka kumetuhusu nini? mzee wamahesabu makali kawaambia wafanya kazi wa serekali wote wasende na alotiliwa pesa za kuendea huko azirudishe, mwenge wa uhuru alopata uhuru Tanganyika sisi tumepindua sasa tunataka nini tena huko? ah!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.