Habari za Punde

Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.

Afisa wa Umoja wa Walemavu Zanzibar Bi Maryam Haji Sadaat akitowa mada wakati wa mkutano huo wa Kongamano la maadhimisho ya Siku ya Walemavu Duniani, Kongamano hilo limefanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Utamaduni Rahaleo Zanzibar, kushoto Mkurugenzi Mipango na Uendeshaji wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg. Ameir Makame Ussi.   
Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo wakifuatilia kwa makini Mada iliokuwa ikiwasilishwa na muhusika.

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada iliokuwa ikitolewa na Afisa wa Umoja wa Walemavu Zanzibar Maryam Haji Saadat,  wakati wa maadhimisho ya Siku ya Walemavu Duniani huadhimishwa kila mwaka Duniani.iliofanyika katika ukumbi wa Utamaduni Rahaleo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.