Habari za Punde

Mama Asha Abdalla Juma afungua mafunzo ya kilimo endelevu kwa wenyeviti na makatibu wa UWT mkoa wa Mjini

 Mbunge wa Viti maalum wanawake Mhe. Asha Abdalla Juma akifungua mafunzo ya siku moja ya kilimo endelevu yaliyowashirikisha wenyeviti na makatibu wa UWT Mkoa Mjini.
 Mkufunzi wa mafunzo ya kilimo endelevu (Permaculture) Dkt. Mwatima Abdalla Juma akitoa elimu juu ya kilimo hicho katika mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na Mbunge wa viti maalum Wanawake Mkoa Mjini Mhe. Asha Abdalla (Mshua).

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Kilimo endelevu cha kudumu Bi. Fatma Abdalla Juma akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyoulizwa na washiriki wa mafunzo hayo yaliyofanyika Maungani Wilaya ya Magharibi (B) Unguja.

Washiriki wa mafunzo ya kilimo endelevu yaliyoandaliwa na Mbunge wa viti maalum wanawake, Mhe. Asha Abdalla (Mshua) wakiwa na mwalimu wao (mwenye kofia) wakitembelea shamba  aTaasisi hiyo katika kijiji cha Mungani Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Picha na Makame Mshenga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.