Habari za Punde

Mchezo wa Ufunguzi wa ZBC Watoto Mapinduzi Cup U-17 Kati ya Wilaya ya Mjini na Wilaya ya Kusini Unguja Timu hya Mjini Imeshinda 3--0. Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan.


Wachezaji wa Timu ya Wilaya ya Mjini Unguja U-17, wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Wilaya ya Kusini Unguja kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Ufunguzi wa Michezo ya ZBC Watoto Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Wilaya ya Mjini Imeshinda 3---0.
Kikosi cha Timu ya Wilaya ya Mjini Unguja kilichotowa kipigo kwa Timu ya Wilaya Kusini Unguja Mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Wilaya ya Mjini imeshinda 3--0  
Kikosi cha Timu ya Wilaya ya Kusini Unguja kilichokubali kipigo cha mabao 3--0 dhidi ya Timu ya Wilaya ya Mjini Unguja. 
Viongozi wa ZBC na Wananchi wakifuatilia mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya ZBC Watoto Mapinduzi Cup U-17 yanayofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya Wilaya ya Mjini Unguja akimpita beki wa Timu ya Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa mchezo wao wa ufunguzi wa michuano ya mtoano ya ZBC Watoto Mapinduzi Cup U-17 mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Wilaya ya Mjini imeshinda 3-0.
Mchezaji wa Timu ya Wilaya ya Mjini kulia na wa Wilaya ya Kusini Unguja wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa ufunguzi ZBC Watoto Mapinduzi Cup U-17. 
Mshambuliaji wa Timu ya Wilaya ya Mjini akipia mpira golini kwa Timu ya Wilaya Kusini Unguja, huku beki wa timu ya Wilaya ya Kusini akijiandaa kumzuiya. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.