Ajali ya gari iliyotokea Chakechake




WANANCHI wa Mji wa Chake Chake wakiangalia gari yenye namba za Usajili Z 911 EV, iliyopata ajali na kuingia kwenye kwenye maporomoko maeneo ya Michakaeni Chake Chake, majeruhi walikimbizwa katika hospitali ya Chake Chake.(Picha na Mpiga picha wetu) 

Post a Comment

0 Comments