Habari za Punde

ZFA wakabidhi bango la kubadilishia wachezaji

KATIBU wa ZFA Taifa Zanzibar Mohamed Ali Hilali, katikati akimkabidhi Mipira na bango la kubadilishia wachezaji katibu wa ZFA Wilaya ya Chake Chake Suleiman Juma Said, hafla ya makabidhiano iliyohudhuriwa na viongozi mbali mbali wa ZFA akiwemo Rais wa ZFA Ravia Idarous Faina

(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.