WAANDISHI wa habari kutoka mikoa kadhaa ya Tanzania,
wakifuatilia jinsi ya ujazaji wa fomu ya kielektronik endapo mwandishi wa
habari, atafanyiwa udhalilishaji wa aina yoyote au kukoseshwa habari, mafunzo
hayo yameandaliwa na MCT na kufanyika Mkoani Dodoma, (Picha na Haji Nassor).
MWANDISHI wa habari na mpiga picha wa Azam TV, Juma
Kapipi, akitoa ufafanuzi wa matukio yaliomfika wakati akiwa kazini, kwenye
mkutano wa kujaza fomu ya kielektronik
ya udhalilishwaji, ulioandaliwa na MCT na kufanyika Dodoma, (Picha na Haji Nassor).
AFISA Mwandamizi MCT ofisi ya Zanzibar Shifaa Said
akifungua mafunzo ya siku moja, ya ujazaji wa fomu ya kielektronik, kwa
waandishi wa habari iwapo watadhalilishwa au kufanyiwa hujuma yoyote na
kukoseshwa habari, mafunzo hayo yameandaliwa na MCT na kufanyika Dodoma hivi
karibuni, (Picha na Haji Nassor).
No comments:
Post a Comment