Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya akabidhi vifaa Hospitali ya Chake

 Dk, Dhamana wa Hospitali ya Chake Chake Pemba, Ali Habib Ali, akitowa Shukrani zake kwa mkuu wa Wilaya ya Chake Chake kwa juhudi zake za kuisaidia Hospitali hiyo.
 Kamati ya Uongozi ya Hospitali ya Chake Chake Pemba, ikishuhudia makabidhiano ya Vifaa hivyo ambavyo vilitolewa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake kwa ajili ya Hospitali hiyo.
 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake  Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akitowa nasaha zake kwa uongozi wa Hospitali ya Chake Chake , mara baada ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya Hospitali hiyo.
 Vifaa wenyewe ambavyo vilikabidhiwa kwa Dk, Dhamana wa Hospitali ya Chake Chake kutoka kwa mkuu wa Wilaya hiyo.

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akikabidhi vifaa mbali mbali kwa Daktari dhamana wa Hospitali ya Chake Chake , Dk, Ali Habib Ali, ambavyo vilinunuliwa na Ofisi yake kwa ajili ya
hospitali hiyo.


Picha na Bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.