Habari za Punde

Uimarishaji wa Miundombinu ya Barabara Kisiwani Pemba.

Moja ya madaraja matatu makubwa yanayojengwa katika barabara ya Ole-Kengeja,madaraja hayo yanayojengwa na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, yatakapo kamilika yatakuwa na uwezo wa kupita chombo chenye uzito wa Tani 50, pichani mafundi wakiwa katika harakati za ujenzi wa moja ya madaraja hayo katika hiyo eneo la Fidel Castro- Uwanja wa Ndege.
(Picha na Abdi Suleiman, Pemba)No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.