Habari za Punde

Waumini wa Kanisa Katoliki Zanzibar Wakishiriki katika Ibada ya Krisman Katika Kanisa la Minara Miwili Shangani Zanzibar.

Fr. Richard Haki akiongoza Ibara ya Krismas katika Kanisa la Minara Miwili Shangani kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Yesu Kristo. ibada hiyo imefanyika katika kanisa hilo na kuhudhuriwa na Wananchi wa Zanzibar na wageni waliofika Zanzibar kwa matembezi mbalimbali wamejumuika katika ibada hiyo. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.