WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji
Zanzibar Mhe;Balozi Ali Abeid Karume, akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa
Mradi wa Usambazaji Umeme, katika kijiji cha Mtimbu shehia ya Pujini Wilaya ya
Chake Chake, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za kutimiza miaka 53 ya Mapinduzi
ya Zanzibar.(Picha na Hanifa Salim,
PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Mjaid
Abdalla, akizungumza na wananchi wa Mtimbu Pujini Wilaya ya Chake Chake, mara
baada ya kuzinduliwa Mradi wa Umeme kijijini hapo, ikiwa ni sehemu ya shamra
Shamra za kutimiza miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA)
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji
Zanzibar, Mhe;Balozi Ali Abeid Karume, akizungumza na wananchi wa Mtimbu
Pujiji, Wilaya ya Chake Chake Pemba mara baada ya kuzindua mradi wa Usambazaji
huduma ya Umeme kijijini hapo, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za kutimiza miaka
53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na
Hanifa Salim, PEMBA)
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali wakiongozwa na Mkuu
wa Wilaya ya Chake Chake wa kwanza kutoka kushoto, wakishuhudia Uzinduzi wa Mradi
wa Usambazaji Umeme kijiji cha Mtimbu Shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake, ikiwa
ni sehemu ya shamra Shamra za kutimiza miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA)
VIJANA mbali mbali wakiitikia dua baada ya uzinduzi
wa mradi wa Umeme, katika kijiji cha Mtimbu Pujini Wilaya ya Chake Chake, ikiwa
ni sehemu ya shamra Shamra za kutimza miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA)
No comments:
Post a Comment