Sehemu ya wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, wakimshangilia Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliposimama kuzungumza nao, alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, baada ya wananchi hao kusimamisha msafara wake alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma

Sehemu ya wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, wakimsikiliza Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliposimama kuzungumza nao, alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.Picha na Ikulu.
TWENDE TUKAENDELEE KUTEKELEZA MAGEUZI YA ELIMU: PROF. MKENDA.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda ametoa Wito
kwa Umoja wa Wakuu wa Shule za msingi za ...
2 hours ago
0 Comments