Habari za Punde

Naibu Waziri wa Habari Mhe Choum Azungumza na Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba.

NAIBU Waziri wa Wizara ya Habari, Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Chuom Kombo Khamis akizungumza na waandishi wa habari kutoka Vyombo vya Serikali, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa magofu mjini Chake Chake
AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii,Utamaduni na Michezo Zanzibar, Khatib Juma Mjaja akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo vya Serikali, huko katikaukumbi wa Magofu Chake Chake Pemba
WAANDISHI wa Habari kutoka vyombo mbali mbali serikali Pemba, wakimsikiliza kwa makini Naibu waziri wa Wizara ya Habari, Utalii utamaduni na Michezo Zanzibar, wakati alipokwua akizungumza nao mjini chake chake.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.