Mwananchi wa Kijiji cha Mwera kiongoni akitandaza kifusi katika barabara yao ya ndani kama alivyokutwa na kamera yetu akiwa katika kazi hiyo, kipindi cha mvua za masika barabara nyingi zimeharibika kwa kuchimbika na kuwa katika hali ya kuharibika kwa mashimo kuwa mengi.
WADAIWA KODI YA ARDHI KIKAAONGONI
-
Waziri Akwilapo Ataka Kukamilisha malipo ifikapo Desemba 31, 2025
Aagiza Vituo vya Makusanyo ya Kodi kutoa huduma bora
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ...
9 hours ago
1 Comments
Miundombinu ya barabara kijijini Mwera inahitajika kwa sababu ya kuharibiwa vibaya na mvua.Mazao hayawezi kufika sokoni kwa wakati unaohitajika. Mbali na hayo, vifusi vilivyotapakaa barabarani vinakuwa kikwazo kikubwa kwa magari kupita.
ReplyDelete