Waziri wa Biashara , Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ,Amina Salim Ali, akikata utepe katika ufunguzi wa Banda la Karafuu huko katika shehia ya Mjimbini Pemba , lilijengwa na Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ( ZSTC) Pemba.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Amina Salim Ali, akikaguwa ujenzi wa banda la ununuzi wa Karafuu huko katika Shehia ya Mjimbini Pemba.
WAJUMBE WA KAMATI YA PIC WATEMBELEA KITUO KIKUU CHA MABASI MSAMVU
-
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC),
wakitembelea Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024.
Kit...
17 minutes ago
No comments:
Post a Comment