Habari za Punde

Maonyesho ya Maktaba yaliyofanyika skuli ya sekondari Mitiulaya Wete Pemba

 BAADHI ya machapisho yanayotolewa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, ambayo juzi yalipelekwa kwa wanafunzi wa skuli ya sekondari ya Miti ulaya wilaya ya Wete kwenye maonyesho ya maktaba, yalioandaliwa na ZLSC, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MWALIMU Mkuu wa skuli ya sekondari ya Miti ulaya wilaya ya Wete Riziki Makame Faki, akifungua maonyesho ya maktaba yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, yaliofanyika skulini hapo, na wanafunzi kadhaa kujisomea vitabu mbali mbali, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed akielezea lengo la maonyesho ya maktaba kwa wanafunzi wa skuli ya sekondari ya Miti ulaya wilaya ya Wete Pemba, yaliofanyika skulini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MWALIMU Mkuu wa skuli ya sekondari ya Miti ulaya wilaya ya Wete Pemba, Riziki Makame Faki akisoma jirida linalotolewa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, kwenye maonyesho ya maktaba yaliofanyika skulini kwake na kuandaliwa na ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WANAFUNZI wa skuli ya sekondari wilaya ya Wete, wakichagua vitabu kwa ajili ya kujisomea kwenye maonyesho ya maktaba, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WANAFUNZI wa skuli ya sekondari wilaya ya Wete, wakisoma vitabu mbali mbali kwenye maonyesho ya maktaba yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).  
 MWANAFUNZI wa skuli ya sekondari ya Miti ulaya wilaya Wete Pemba, akiomba ufafanuzi wa jambo kwa Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed, kwenye maonyesho ya maktaba yalioandaliwa na ZLSC na kufayika skulini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WANAFUNZI wa skuli ya sekondari wilaya ya Wete, wakisoma vitabu mbali mbali kwenye maonyesho ya maktaba yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.