Habari za Punde

ZSTC yakabidhi madawati mkoa wa kusini Pemba

 Mkurugenzi  Mtendaji  wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Dk, Said Hassan Mzee, akimkabidhi Madawati Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, ikiwa ni mchango wa Shirika hilo kuunga mkono kauli ya Serikali ya kuchangia madawati.

Madawati ambayo yamekabidhiwa kwa mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar. (ZSTC) Dk, Said Hassan Mzee, ikiwa ni mchango wa madawati kwa Skuli za mkoa huo.

Picha na HAMAD SHAPANDU -MAELEZO PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.