Habari za Punde

Mkutano wa wazi wa kutoa msaada wa kisheria shehia ya Wesha


 NAIBU sheha wa shehia ya Wesha Haji Mohamed Ali akizungumza kwenye mkutano wa wazi wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika uwanja wa mpira wa miguu shehiani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba). MWANANCHI wa shehia Wesha wilaya ya Chakechake Salim Haji Khatib ‘Ok’akiuliza suali kwenye mkutano wa wazi wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba na kufanyika uwanja wa mpira shehiani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).


WANANCHI wa shehia ya Wesha wilaya ya Chakechake wakifuatilia mkutano wa wazi wa kutoa msaada wa kisheria ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika uwanja wa mpira wa miguu shehiani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.