Habari za Punde

Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi awasili nchini kwa ziara ya siku mbili

 Vikundi vya vya Ngoma za Utamaduni na Wananchi mbali mbali wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam katika mapokezi ya Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi leo,[Picha na Ikulu.] 14/08/2017.

 Kikundi cha Brass Bandi kilipokuwa kikiburudisha wakati wa mapokezi ya Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi alipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein wakiwapungia mikono wananchi waliofika katikamapokezi ya Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi alipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
  Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi alipokuwa akielekea kukagua gwaride la Heshma baada ya kupokea salamu  leo  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius kamabarage Nyerere Jijini Dar es Salaam mara alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
 Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi alipokuwa akifuatana na Makamanda wa Jeshi la Ulinzi JWTZ leo baada ya  kukagua gwaride la Heshma    katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kamabarage Nyerere Jijini Dar es Salaam mara alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi wakati wa  mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kamabarage Nyerere Jijini Dar es Salaam   nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kwa mualiko wa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamu wa Rais wa Jamhuri tya Muungano Mhe.Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa  wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kamabarage Nyerere Jijini Dar es Salaam  wakati wa   mapokezi ya Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi (hayupo pichani) alipowasili nchini leo kwa ziara ya siku mbili kwa mualiko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli,akisalimiana na Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius kamabarage Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili. [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.