Habari za Punde

Semina ya Mafunzo Kazi Kwa Vijana Yafanyika Zanzibar.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid akizungumza wakati wa Ufunguzi Mafunzo ya Semina kuhusiana na kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkurugenzi Ajira Ameir Ali Ameir akisoma ratiba ya Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkurugenzi wa ILO Bi.Mary Kawar akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mtaalamu muelekezi kutoka ILO Ashwani Aggarwal akitoa mafunzo elekezi katika Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuber Ali Maulid katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wawakilishi waliohudhuria katika Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.