Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al Hajj Dk Ali Mohamed Shein, Ahutubia Baraza la Eid Al Hajj Fumba Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Fumba Wilaya ya Magharibi Unguja kuhutubia Baraza la Eid Al Hajj Kitaifa limefanyika katika Viwanja vya Fumba Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al Hajj Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati akiwasili katika viwanja vya Fumba kuhutubia Baraza la Eid Al Hajj.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.