Wanafunzi waliosoma Chuo cha Marehemu Abdallah Chum Jangombe wakisoma dua kumuombea mwalimu wao na wanafunzi waliosoma chuo hicho wakisoma hitma kuwarahimu iliofanyika katika maeneo viwanja vya chuo hicho. Dua hiyo imehitimishwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar ni mmoja wa wanafunzi wa marehemu Sheikh Khamis Haji Khamis.
SHIMIWI YAPATA UDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO
-
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKISHO la Michezo ya Wizara, Idara, Wakala za Serikali na Ofisi za
Wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) wamepata udhamini wa vifaa mbalimbali...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment