Habari za Punde

Maandamano ya Timu Shiriki Michuano ya Mkombozi PBZ CUP 2017 Uwanja Amaan Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa na Viongozi Jukwaa kuu akipokea maandamano ya Timu shiriki za Michuano ya Mkombozi PBZ Cup, kulia Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Juma Ameir Hafidh na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo, Omar Hassan King wakipokea maandamano hayo ya Timu shiriki. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.