Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mangula Azungumza na Kiongozi wa Palestina Jijini Dar es Salaam.

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula akizungumza na Naibu Namishina wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (FATAH) Dk. Uri Davis, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,Oktoba 3, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.