Habari za Punde

Mashabiki wa Timu ya Shaba wadaiwa kuvunja mlango Uwanja wa Gombani


MLANGO wa kuingia uwanja wa Gombani upande wa ZFA ukiwa umevunjwa kwa kutolewa sehemu ya chini na mashabiki wanaodaiwa kuwa wa Timu ya Shaba, baada ya mchezo wao na Wawi Star kumalizika kwa Shaba kufungwa goli 1-0.(PICHA NA MWANDISHI WETU ,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.