Habari za Punde

Uzinduzi wa Ligi ya Central Leagua Zanzibar.

Michuano wa Ligi ya ZFA Central League imefunguliwa kwa mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Mgeni Rasmin katika ufunguzi huo Ali Mkanga ambae pia ni Rais wa Timu ya Ras Kazone na kutowa nasaha zake kwa Wachezaji wa Timu zote zinazoshiriki Ligi Hiyo kuwa mchezo ni ajira waweze kuongeza bidii katika michezo yao ili kupata ajira.
Na kuahidi mshindi wa kwanza katika mashindano hayo atamzawadia shilingi milioni moja na laki tano kwa mshindi wa Pili. amewataka kudumisha nidhamu wakiwa mchezoni. Mchezo wa ufunguzi umezikutanisha Timu za Amani Kids na Villa Sports Club.  
 Viongozi wa Kamati ya ZFA Central League wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmin wa ufunguzi wa michuano hiyo iliozinduliwa katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

MASHINDANO YA ZFA CENTRAL LEAGUE WAMEFUNGULIWA RASMIN LEO HII. MGENI RASMIN KATIKA UFUNGUZI HUO ND ALI MKANGA AKIWA PIA RAIS WA RAS KAZONE ALIWAKUMBUSHA WACHEZAJI KUWA KWA SASA MPIRA NI AJIRA HIVYO WACHEZA KWA BIDII NIDHAMU NA KWA KIWANGO CHA JUU ILI WAPATE AJIRA ZINAZOTOKANA NA MPIRA. KABLA YA KUFUNGUWA RASMIN MASHINDANO MGENI RASMIN ALIAHIDI KUTOKA SHILINGI MILIONI MOJA KWA BINGWA NA LAKI TANO KWA MSHINDI WA PILI MASHINDANO HAYO YAMEFUNGULIWA KWA MCHEZO WA LIGI YA CENTRAL AMBAO NI WA RATIBA KATI YA AMANI KIDS NA VILLA SPORTS CLUB

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.