Habari za Punde

Uzinduzi wa Michuano ya Kombe la Muungano Mchezo wa Netiboli Yafanyika Zanzibar Uwanja wa Gymkhana.

Mgeni rasmin ufunguzi wa Michuano ya Klabingwa Kombe la Muungano Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Marine Thomas akiwa na Viongozi wa Chaneza na Chaneta wakiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Omar Hassan King wakiwa wamesimama wakati wanamichezo wakipita kwa maandamano wakati wa ufunguzi huo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar.
Michuano hiyo itashirikisha Timu 12 kutoka Zanzibar na Tanzania Bara kuwania taji hilo la Bingwa wa Muungano kwa mchezo wa Netiboli.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.