Dulah Makabila, Msanii wa Muziki wa Singeli, Abdallah Makabila a.k.a Dullah Makabila
akitumbuiza jukwaani wakati wa Tamasha la Wanachuo lijulikanalo kama ‘Zantel
Chem Chem Bonfire’ lililofanyika katika ukumbi wa New Msasani Club hivi
karibuni jijini Dar es Salaam.
Happy & Ibra, Wasanii wa kizazi kipya wanaochipukia, Ibrahim Jakob na Happy Best
wakishambulia jukwaa kwenye Tamasha la wanachuo lijulikanalo kama ‘Zantel Chem
Chem Bonfire’ lililofanyika katika ukumbi wa New Msasani Club hivi karibuni jijini
Dar es Salaam.
Juma Nature, Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, Juma Kassim Nature akiwapagawisha
Wanafunzi kutoka Vyuo vikuu vya jiji la Dar es Salaam katika Tamasha
lililoratibiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel lilopewa jina la ‘Zantel
Chem Chem Bonfire’ ambalo lilifanyika katika ukumbi wa New Msasani Club hivi
karibuni jijini Dar es Salaam.
Young Killer, Msanii wa Muziki wa Bongo Flaver, Young Killer akiimba pamoja na Wanafunzi
wa Vyuo vikuu vya jiji la Dar es Salaam kwenye Tamasha lililoratibiwa
na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel lililopewa jina la ‘Zantel Chem Chem
Bonfire’ ambalo lilifanyika katika ukumbi wa New Msasani Club hivi karibuni
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment