Habari za Punde

Ziara ya Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mawasiliano na Ardhi Kutembelea Pemba.

Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliani na Ardhi ya Baraza la Wawakilisi waqkiwasili kisiwani Pemba kwa Meli ya Mv Mapinduzi II wakiwa katika picha ya pamoja na Nahodha wa Meli hiyo baada ya kuwasili katika Badari ya Mkoani Pemba kuaza ziara yao ya kikazi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.