6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya Kombe la Muungano Kati Jeshi Stars na Uhamiaji Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya Uhamiaji Imeshinda 46 - 39.

Mchezaji wa Timu ya Jeshi Stars akijiandaa kufunga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la Muungano mchezo uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Timu ya Uhamiaji imeibuka mshindi wa mchezo huo kwa mabao 46 -39.






Post a Comment

0 Comments