Habari za Punde

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatiliana Saini na Kampuni ya ADPI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Zanzibar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe akitiliana saini na Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe kushoto wakibadilishana Mikataba na Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akizungumza machache kabla ya Utiliaji saini na Kampuni ya ADPI Ingenierie kutoka  Ufaransa kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin akizungumza machache kabla ya Utiliaji saini kuhusiana na  Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Gari aina ya Buldoza likiendelea kusafisha katika sehemu ya Uwanja wa ndege Terminal Theree katika muendelezo wa Ujenzi wa Uwanja huo Zanzibar.

Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.