Habari za Punde

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.Tulia Akson Atembelea Bohari ya Dawa (MSD)

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Bwana Laurean Bwanakunu, akizungumza na Naibu Spika, Tulia Akson alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja kutembelea MSD kuona shughuli mbalimbali za uhifadhi dawa na Vifaa tiba jijini Dar es Salaam jana.
 Hapa Naibu Spika, Tulia Akson akitembelea ghara la kuhifadhi dawa na vifaa tiba.
Naibu Spika akipata maelezo.
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Bwana Laurean Bwanakunu, akiagana na Naibu Spika, Tulia Akson baada ya kumaliza ziara hiyo ya kikazi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.