Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akihojiwa na Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Baada ya Kuzindua Studio za Kisasa za Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazji Zanzibar(ZBC) Aiman Duwe akifanya mahojiano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya Uzinduzi wa Studio Mpya za Kisasa katika Majengo ya ZBC Mnazi mmoja leo ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.