Habari za Punde

Taarifa ya Wateja Wetu wa Mkoa wa Temeke.

Tunawatangazia Wateja wetu kuwa tumelazimika kuzima  njia ya umeme ya Kipawa-Chang'ombe saa 1:30 Asubuhi baada ya moto kutokea kwenye "arrestor" ya Kituo cha kupoza umeme cha Chan'gombe.
Mafundi wanaendelea na jitihada za kurejesha umeme.
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.
Kwa mawasiliano toa taarifa kupitia,
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
 Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
 IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
 TANESCO MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.