Habari za Punde

WAZIRI NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA HAROUN ALI SULEIMAN AFUNGUA KITUO CHA AFYA UKONGORONI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Afisa uendeshaji Timu ya Afya Halmashauri Wilaya ya Kati Salma Bakari Mohammed wakati akitembelea kituo cha Afya baada ya kukifungua Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Hassan Khatib Hassan akizungumza machache kuhusiana na Kituo cha Afya cha Ukongoroni pamoja na kuahidi kutatua baadhi ya changamoto zilizopo katika Mkoa huo katika ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.