Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania Mr. Emmnuel Koroso akimkabidhi mfano wa Ndege ya ATCL ya Bombardier Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Wadau wa Sekta ya Usafiri wa Anga Duniani na kuwashirikisha watoa huduma za Ndege, uliofanyika katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhiwa Ndege ya Bombardier na Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya Bombardier Commercial Aircraft -Middle East&Africa PhD
DKT. LAZARO BUNUNGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA PERAMIHO
-
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi
(CCM), Dkt. Lazaro Komba Bunungu, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya
kugo...
11 hours ago
0 Comments