Habari za Punde

Mju Mvumbuzi wa Madini ya Tanzanite Nchini Tanzania Mzee Jumannne Ngoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mzee Jumanne Ngoma, mvumbuzi wa madini ya Tanzanite,akizungumza nae wakati wa uzinduzi rasmi wa  ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.